Werner, Klaus Ulrich2021-10-102017-10-072021-10-102017-10https://repository.ifla.org/handle/20.500.14598/1679Kwa ajili ya mradi wowote wa ujenzi, kama vile kazi yoyote ngumu kwa jumla, orodha hutoa njia muhimu ya kuthibitisha kwamba kila kitu Kimezingatiwa. Ingawa haiwezi kudai kuwa kamili, orodha ifuatayo ya maswala ya mipango, ujenzi, na pia uendeshaji kazi wa maktaba, imeundwa ili kusaidia kuhakikisha kuwa kila kitu kimezingatiwa.swhttps://www.ifla.org/copyright/Subject::Green librariesSubject::EnvironmentSubject::SustainabilityMajengo endelevu, vifaa endelevu na Usimamizi wake - OrodhaThe Green Library: Sustainable buildings, equipment, and management - A checklistBrochuresInternational Federation of Library Associations and Institutions (IFLA)