Majengo endelevu, vifaa endelevu na Usimamizi wake - Orodha
Loading...
Date
2017-10
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
International Federation of Library Associations and Institutions (IFLA)
Abstract
Kwa ajili ya mradi wowote wa ujenzi, kama vile kazi yoyote ngumu kwa jumla, orodha hutoa njia muhimu ya kuthibitisha kwamba kila kitu Kimezingatiwa. Ingawa haiwezi kudai kuwa kamili, orodha ifuatayo ya maswala ya mipango, ujenzi, na pia uendeshaji kazi wa maktaba, imeundwa ili kusaidia kuhakikisha kuwa kila kitu kimezingatiwa.
Description
Keywords
Subject::Green libraries, Subject::Environment, Subject::Sustainability